Back
Clear
Show/Hide Additional Details
×
Back
Filters List

Clear
}

Display My

News - global publishers

News Image

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na mkewe Brigitte Macron wamefungua kesi ya madai ya kashfa dhidi ya Mwanaharakati kutoka Marekani Candace Owens kwa madai ya kusambaza uvumi kwamba Mama Brigitte alizaliwa akiwa Mwanaume.Kesi hiyo iliwasilishwa jana

News Image

Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) Gianni Infantino ameipongeza rasmi Klabu ya Yanga kwa mafanikio yake makubwa ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/25.Katika salamu zake za pongezi Infantino amesema kuwa ushind

News Image

Kampuni ya teknolojia ya Astronomer inayojihusisha na huduma za usimamizi wa data na mfumo wa Apache Airflow imejikuta katika hali ya sintofahamu baada ya viongozi wake wawili wakuu kuondoka kwa mfululizo kufuatia video ya utata iliyosambaa kwenye

News Image

Na Mwandishi MaalumuRais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ni miongoni mwa Watu Mashuhuri (Eminent Persons) kutoka bara la Afrika walioshiriki katika Kongamano Maalumu kuhusu Maendeleo Usalama wa Chakula na Uchumi Endelevu wa Bluu barani Afrika lil

News Image

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza rasmi kuitisha Mkutano Mkuu Maalumu utakaofanyika kesho Jumamosi Julai 26 2025 kwa njia ya mtandao.Akizungumza na waandishi wa habari leo Katibu wa Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Amos Makalla amesema kuw

News Image

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yaliyofanyika katika Uwanja wa Mashujaa Mtumba jijini Dodoma leo tarehe 25 Julai 2025.

News Image

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na mkewe Brigitte Macron wamefungua kesi ya madai ya uchafuzi wa jina dhidi ya mtangazaji maarufu wa Marekani Candace Owens. Kesi hiyo iliwasilishwa rasmi katika Mahakama ya Delaware Marekani tarehe 23 Julai 202

News Image

Aliyewahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) Kanali Mstaafu Dkt. Hassy Kitine amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 82.Dkt. Kitine alizaliwa mwaka 1943 katika Kijiji cha Kisinga Kata ya Lupalilo Tarafa ya Lupalilo Wilaya y

News Image

Klabu ya Arsenal imetangaza rasmi kumsajili beki kinda mwenye kipaji Cristhian Mosquera kutoka klabu ya Valencia ya Hispania kwa ada ya uhamisho inayokadiriwa kufikia Euro milioni 15 .Mosquera mwenye umri wa miaka 21 amesaini mkataba wa miaka mit

News Image

Priscilla Ojo mke wa msanii maarufu wa Bongo Fleva Juma Jux ametangaza rasmi ujauzito wao wa kwanza kupitia ukurasa wake wa Instagram mnamo Julai 24 2025.Tangazo hilo limehitimisha uvumi uliodumu kwa wiki kadhaa ambapo baadhi ya mashabiki waliku

News Image

Priscilla Ojo mke wa msanii maarufu wa Bongo Fleva Juma Jux ametangaza rasmi ujauzito wao wa kwanza kupitia ukurasa wake wa Instagram mnamo Julai 24 2025.Tangazo hilo limehitimisha uvumi uliodumu kwa wiki kadhaa ambapo baadhi ya mashabiki waliku

News Image

Kitabu kipya kiitwacho Moyo Wangu Unavuja Damu kimetambulishwa rasmi sokoni katika Makao Makuu ya Global Group Sinza – Mori ikiwa ni kazi ya pili ya fasihi kutoka kwa mtunzi mahiri Lunyamadzo Mlyuka aliyejipatia umaarufu kupitia kitabu chake cha a

News Image

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amewaomba radhi watumiaji wa magari ya Mwendokasi kwa adha wanazokumbana nazo katika kipindi hiki akieleza kuwa serikali inaendelea kufanyia kazi changamoto zilizopo ili kuboresha huduma hiyo muhimu k